Thursday, August 4, 2011

Kuna matunda ukiyaona tu lazima udenda ukutoke

Embe mbichi


Aisee ukiona embe bichi kama hili lazima udenda ukujae mdomoni na utatamani upate walau kidoooogo.
  
Ukwaju


Ukiuona tu ukwaju utatamani ule japo kidogo ili upate ule ugwadu wake .

Mbilimbi

 Mbilimbi hutamanisha sana hata kama hutaki kula utajikuta unakula tu kwa ile hamu inayokujia ghafla baada ya kuiona.

Mabungo

  
Kama uonavyo, mabungo hutamanisha sana na kusababisha hamu ya kulila hasa pale ulionapo.




4 comments:

  1. Lakini hii si wanasemaga special kwa Wajawazito au ni mtazamo hasi?

    ReplyDelete
  2. hahaha..iyo ni kwa kila mtu tu.vip wewe ulivoliona ilo embe mate hayajakujaa mdomoni??

    ReplyDelete
  3. hilo bungo limechokonolewa na penseli tena?

    ReplyDelete

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...