Thursday, September 15, 2011

KEKI

Ubunifu ni kitu muhimu sana unapofanya kitu chochote kile ili kuwafanya watu waone utofauti katika lile ulifanyalo.
Tumezoea kuona keki nyingi zikitengenezwa kawa mfumo wa duara, pembe tatu,moyo na hata ngazingazi kama ndio imedesigniwa kweli kweli.
Ila siku za hivi karibuni kumekuwa na ubunifu mzuri kwa upande wa keki... kwakweli zinapendeza na kuwa za tofauti kabisa. 
Ni vizuri kutengeneza keki kwa muundo wa event ambayo inafanyika kwa wakati huo...
KITCHEN PARTY




BIRTHDAY 


GRADUATION 


BDAY ZA WATOTO

Hiyo ni mifano tu ya keki ambazo unaweza kutengeneza kulingana na event inayokukabili.
KAZI NI KWAKO...










No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...