Friday, January 27, 2012

BODABODA ZATUMIKA KUSAFIRISHA MAITI BUKOBA

UHABA wa magari ya kubebea maiti mjini Bukoba umepelekea wananchi kubuni mbinu mpya ya kusafirisha maiti kwa kutumia BodaBoda. Kama unavyoona picha hapo juu mwananchi akisafirisha maiti kwa BodaBoda... Hali hii inasikitisha sana....
Source:- Wajanja club.

No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...