Thursday, February 2, 2012

MULIKA MWIZI

"Ivi wananchi tutaacha lini tabia ya kujichukulia sheria mikononi?"
ukimuuliza swali hili mtu aliyewahi kuibiwa atakwambia
 "hujaibiwa bado ukiibiwa hutakaa umuonee mwizi huruma".
ila wezi nao ukiwaachia tu ndio wizi unazidi sasa inafika kipindi mtu unakuwa huelewi ufanyeje umtetee au uungane nao katika kumwadhibu mwizi?
kila mtu na moyo wake.

No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...