Wednesday, August 10, 2011

Smile kitu muhimu sana

Tabasamu  huboresha quality ya maisha yetu na kutufanya tuishi kwa furaha

Tabasamu halihitaji nyenzo yoyote zaidi ya uso ,macho na mdomo wako.Kutoa tabasamu haikucost kitu chochote .... unaweza kutoa tabasamu mara kwa mara
Unaweza kutoa tabasamu kwa mtu yeyote uliyemchagua na zaidi sana waweza kutoa  kwa kwa watu wengi kwa wakati mmoja
Toa tabasamu na wewe utapokea tabasamu,toa tabasamu hata kwa mastrangers nao watapata matumaini.
Smile hufanya watu wakutrust kushirikiana na wewe,afu inakupunguzia hasira na stress kama zilikuwepo
So, anza kujenga tabia ya kusmile coz kutabasamu ni lugha pekee inayoweza kuonyesha happiness  yako na itakufanya onekane mdogo na mwenye mvuto saa zote.

Inasadikika kwamba ukismile tu... You'll Live Longer



2 comments:

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...