Monday, August 29, 2011

Mapozi ya kupiga picha...

Miaka ya  nyuma pozi la kupiga picha huku umechuchumaa lilikuwa liko juu sana





Lakini kadri muda unavoenda mambo yanabadilika kwani siku za ivi karibuni mara chache sana watu kupiga picha huku wamechuchumaa.

Siku hizi watu wengi hasa vijana hupenda kupiga picha  wakionyesha ishara ya vidole viwili...asa sijui ndio chadema ama ni nini? 





Pia wadada wengi bila kupindisha shingo kidogo picha haijapigika bado.





Style ya kuonyesha huko nyuma kuna nini pia imekuwa common sana miongoni mwa wadada...





Sasa sijui itafuata style gani ambayo kila mtu ataipenda na kuitumia mara kwa mara akiwa mbele ya kamera.

No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...