Chimbuko la Bamia ni Abyssinia (Ethiopia) Kisha ikaenea Duniani kote.
1. Michirizi na utonvu unaopatikana katika Bamia, husaidia kusawazisha
Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika katika mwili kutoka
kwenye utumbo mkubwa.
2. Utelezi wa bamia huchuja uchafu unaoingia katika Kolestorali
(cholesterol) na asidi ya Nyongo unaoingia kutoka kwenye Ini ambao usipo
dhibitiwa huenda ikasababisha matatizo ya ki-afya.
3. Bamia husaidia kulainisha Utumbo mkubwa (large intestines) kutokana na kazi yake ya kulainisha choo.
4. Bamia hutumika kwa kutibu vidonda vya Tumbo inasaidia kusawazisha Asidi.
Magonjwa Maalum
Asidi ya Kujirudia rudia na Kufunga Choo
Tafuna vipande sita vya Bamia bila kutumia dawa nyigine kilasiku na
Asidi ya Kujirudia rudia na kufunga choo kutakwisha, inashusha Sukari
kutoka 135 hadi 98
Pumu
Bamia ina Vitamin C ambayo inawafana watoto wanaougua ugonjwa wa pumu
kupumua vizuri wanapoitumia. Nusu kikombe ya Bamia iliyopikwa huwa na
miligramu 13 ya vitamin C.
Kidonda Ndugu (Cancer)
Bamia husaidia kuweka Utumbo kuwa na hali nzuri hivyo kupunguza
uwezakano wakuugua ugonjwa huu wa Kansa hasa kwenye utumbo mkubwa.
Mishipa midogo ya Damu Kula Bamia kwa wingi kunasaidia kuimarisha Mishipa midogo ya Damu.
Cataracts
Nusu kikombe cha Bamia iliyopikwa inakua na kiwango cha 460 IU ya
vitamin A.ambayo inapunguza uwezakano wa kupata ugonjwa wa mtoto wa
jicho (cataracts).
Usongo (Depression) na Kukosa Nguvu. Bamia ni mboga bora zaidi kwa wale wanaojisikia dhaifu, Kuchoka na wanao athirika na Usongo (depression).
No comments:
Post a Comment
HTML tags