Thursday, August 25, 2011

Baba ni mara ngapi umepata muda wa kumhudumia mwanao?

Loving and caring for our babies ni jambo la muhimu ambalo tunaweza kuwafanyia,kwani watoto wetu wa leo ndio vijana wa kesho watakaokuja kuinfluence taifa letu na ulimwengu kwa ujumla.


Tunajua ya kwamba baba hawezi kumnyonyesha mwanae, lakini kuna mambo mengi tu anayoweza kufanya kama kumbeba,kucheza nae,kumbadilisha nguo anapojisaidia,kum-massage na hata kumuogesha inpobidi,hii husaidia sana kuleta bonding kati ya baba na mtoto wake.
Baba wa ukweli haogopi mikono yake kuchafuka, bali hukubali majukumu yake na daima hupenda kuhusika na kila aspect katika kumtunza mwanae.


Baba usifikiri kwamba mtoto wako ni mdogo sana amelala pale haelewi kitu chochote,utakuwa unajidanganya sana kwani watoto wadogo wanafeel kila kitu kinachowazunguka.
The way unavyoongea nae,unavyocheza nae,unavyomgusa vyote anavifeel.Your loving touch huwa haiendi hivi hivi bali hukaa kwenye mind ya mwanao na  ku-affect jinsi anavyofeel about him/herself na kujiona kama ni special sana na yuko kwenye safe world.


SWALI: Baba,je ni mara ngapi umemuhudumia mwanao,kumbeba na hata kucheza nae??

Kumbuka kuwa your baby's best chance in life ni kuwa na mama na baba wanaomjali na kumtunza as a team.
wazazi wengi hufikiri kuwa wakina baba wanahusika na mtoto pindi anapokuwa ameshakuwa mkubwa lakini hii si kweli kwani ni wakati akiwa mdogo ndipo yafaa kumjengea msingi huu.


NOTE: Parenting as a team strengthens your relationship with your partner and builds a strong functional family.

REMEMBER: This is your family you are creating..these rewards can last alife time..after all...DADS ARE FOREVER



1 comment:

  1. ... pretty post lilia, a trully love it my dear. kip it up mdada..............mwa

    ReplyDelete

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...