Nchini Japan kuna biashara ya hoteli ya kuhifadhia miili ya marehemu, ambapo ukilipia fedha zako,mwili wa marehemu unatunzwa na kuandaliwa sehemu maalumu ya kutolea heshima za mwisho .
Vyumba maalumu vya kutolea heshima za mwisho.
Wafanyakazi wa hotelini hapo wakiandaa jeneza la kuhifadhia mwili wa marehemu.
Majeneza yakisubiri miili ya marehemu wanaolipiwa kuhifadhiwa hotelini hapo.
Chumba cha kutolea heshima za mwisho kwa marehemu.
Sio Hospitalini tena bali ni Hotelini, hii ni hatua kubwa sana.
No comments:
Post a Comment
HTML tags