Wakati wa shughuri za nyumbani ndio mahali pake pa kuvaa khanga.
Khanga huvaliwa pia kama vazi pale mtu anapotoka kwenda kwenye matembezi yake hasa maeneo ya pwani
Misiba inapotokea khanga ni vazi kuu ambalo wanawake huvaa
Huko kwetu Pwani wakati wa shughuri(sherehe) khanga huwa sare ya shughuri
Pia khanga hutumika kubebea mtoto
Madesigner nao wakishaishika khanga mambo huwa hivi
Maneno yanayoandikwa kwenye khanga izi mara nyingi huleta utata miongoni mwa wanawake hasa kwa wale wenye ugomvi hutumia khanga kufikisha ujumbe waliokusudia
Biashara ya khanga inatoka kweli
No comments:
Post a Comment
HTML tags