Friday, November 18, 2011

Chinedu Ikedieze kuoa mwezi huu

Msanii wa Naigeria maarufu kama Aki anatarajia kuoa hivi karibuni.
Na sherehe za harusi hiyo zitaanza Novemba 26 ambapo itakuwa ni Traditional weeding  itakayofanyika katika mji wa Mbano,Imo state
Na itakapofika December 10 itakuwa ni White weeding itakayofanyika Logos.
Aki anatarajia kumuoa mpenzi wake Nneoma Nwaijah.
Hongereni na Mungu awatangulie.

No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...