Mtoto huyo ni wa kiume na amezaliwa akiwa ana sehemu za siri nne,tumboni,mgongoni,ubavuni na kwenye eneo la kawaida.
Ivi sasa mtoto huyo ametelekezwa na wazazi wake katika hospitali ya KCMC mjini Moshi alipokuwa amepelekwa kwa lengo la kufanyiwa upasuaji.
No comments:
Post a Comment
HTML tags