Monday, November 21, 2011

Mzee mwenye miaka 103,Watoto 57,Wajukuu 200,na Vitukuu 70

Mzee huyo anaitwa Nterege ana umri wa miaka 103 ana watoto 57,wajukuu 200 na vitukuu 70.
Pichani ni mzee Nterege akiwa na diwani wake.
Hawa ndio wajukuu zake katika picha ya pamoja.
stori hii nimeiona huko kwenye blog moja inaitwa wajanjaclub.




No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...