Nyumba hii inayojengwa katika kijiji cha Yelwa imekuwa kivutio kikubwa cha utalii kijijini hapo.
Chupa hizo hujazwa mchanga tayari kwa kutumika kama matofari katika ujenzi wa nyumba hiyo.
Nyumba yenye chumba cha kulala, sebule,bafu,choo na jiko inaweza kutumia chupa zaidi ya 78,000.
No comments:
Post a Comment
HTML tags