"MUNGU akikupa mtihani wowote ule, basi atakuwezesha kuukabili mtihani huo".
Nyakati za furaha, mtaje MUNGU.Nyakati za matatizo, muombe MUNGU.
Nyakati za utulivu, muabudu MUNGU.Nyakati za maumivu,mtegemee MUNGU.
Kila wakati, mshukuru MUNGU.
Peleka ujumbe huu kwa watu saba ikiwa pamoja na mimi.Utapata miujiza ya Mungu.
Cute. Msalimie sana eve
ReplyDeletenitamsalimu dear wala usijali
ReplyDelete