Tuesday, October 30, 2012

Laiti kama ningeweza kuzirudisha siku nyuma...

Enzi hizo...kazi zilipokuwa zikiwekwa kando afu kamera ikifanya kazi yake...mweeeeh! sketi zilikuwaga over size wakati saa hizi hata kuingia haziingi
Nawapenda sana Eve na Mamy nadhani hilo mwalijua afu ninawamisije 
Kwa mikwara yako tu...natamani tungekuwa wote tena
Amani na upendo ndio ngao yetu
Twamshukuru MUNGU katuumba wadada wazuri wazuri
MUNGU atupe wakati tuweze kuonana tena, ikiwezekana hata kuwa sehemu moja tena,najua yeye hashindwi jambo.
Amani kwenu.
With love
DeBonex
Mwaaaaah!!

                                                                                       

No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...