Monday, December 31, 2012

Happy New Year...2013

Nawatakia wanaafroshiznet wote heri ya mwaka mpya 2013.
Mwaka 2013 uwe mwaka wa mafanikio makubwa kwako.
Ulichokikosa mwaka 2012 basi ukipate mwaka 2013.
Magumu yote utakayokutana nayo yawe mepesi kwako.
Samehe wale wote waliokukosea
Saidia wenye shida,wagonjwa,wajane na yatima.
Dumu kumuomba MUNGU siku zote.
Ubarikiwe.

HAPPY NEW YEAR 2013

No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...