Thursday, January 3, 2013

Mvua zinaposababisha barabara kuteleza na kuleta majanga.

Gari likiwa limetereza na kudumbukia kwenye mtaro wa maji maeneo ya Sinza-Kamanyora.
Mwenye mali akiangalia namna ya kulitoa gari lake.

  
 Mke na mtoto wake wakiwa bado na mshituko kwa ajali iliyotokea,kama unavyoona kijana kaumia kidogo mdomoni.

No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...