Saturday, November 2, 2013

Mashosti, Mabest,Mafriend....Yaan Ma kila kitu

Elly & Aggie
 My Twin Twin Neyma
Aggie ..Mama Luuu
Elly & Magreth
Scolar
 Evelyne Baby
Watumishi wenzangu katika BWANA 
Scolar & Hellen
 My Kusha 
My dada.. Mamy 
 Seda Jirani
Mage &  My Sugar Aggie
Katika maisha tunakutana na watu wengi lakini wachache tu ndio wanaweza kugusa maisha yako na kuwa watu wako wa karibu.

Hao niliowaweka hapo juu ni wachache kati ya wengi ambao wanagusa moyo wangu kwa namna moja ama nyingine.

Nawapenda wote bila kumsahau best yangu Rehema Dulla  na kati ya kigooooooma... Cha ajabu  sina hata picha yake!!!

xoxo




1 comment:

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...