Undugu sio kufanana tu ni zaidi ya kufanana.
Undugu ni kufaana na sio kurandana.
Ndugu yako ni nani hasa???
Ni yule mnayesaidiana katika shida na raha .
Sio lazima uwe unatoka nae ukoo mmoja, bali ndugu ni watu ambao tupo nao pamoja katika maisha ya kila siku.
No comments:
Post a Comment
HTML tags