Sio lazima mvua inyeshe au jua liwake ndo ujifunike mwamvuli,waweza kuutumia kama urembo tu.
Yaan hii imebuniwa vizuri mpaka raha
Kiasili zaidi,nguo mpaka mwamvuli wenyewe...
Bi harusi naye anaweza kubeba mwamvuli ili kujipendezesha zaidi, sio kila siku maua tu...
Models nao wana swaga zao wanapokuwa wameshika miamvuli.
hahaaaaaaaaaah nimependa sana style ya bi harusi.
ReplyDelete