Monday, August 15, 2011

Mfungo unaendelea...

Napenda sana huu utaratibu ambao ndugu zangu mnautumia


Katika mfungo huu wa Ramadhani...



Kualikana wakati wa kufuturu ni kuonyesha upendo


Nilipoalikwa kufuturu kwa shostito wangu Mamy nilikula tende kwa mara ya kwanza.


Jamani tusisahau kula matunda wakati wa kufuturu ni muhimu sana.


Nawatakia nyooote mfungo mwema na mwenyezi MUNGU awabariki.






1 comment:

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...