Thursday, September 8, 2011

BRIDEMAIDS

Wasimamizi wa maharusi


Sio lazima wote wavae rangi ya kufanana kila mtu anaweza kuvaa nguo ya rangi ya kipekee


 Pia wanaweza kuvaa white kama bi harusi sio mbaya inapendeza pia


Sio lazima mishono ifanane 


Fupi pia huwa zinanoga kama nini


Hata rangi nyeusi mbona poa tu 


Wengine hupenda ku complicate kama bi harusi...sio mbaya pia ni maamuzi tu


Creativity ni muhimu sana ...cheki ivyo vimiamvuli  na izo miwani ili mradi nakshi tu. loooh!!



Sio lazima yawe magauni bwana... hata  shati na sketi inakolea tu




Vikoti,visweta pia huwa vinapendeza sana sana


KAZI NI KWAKO...











No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...