Friday, September 9, 2011

ENZI HIZO...

Enzi hizo miaka ya tisini nilikuwa napenda sana kuangalia "video" kama wenyewe tulivyokuwa tunaiita... kulikuwa na movies ambazo mimi na ndugu zangu tulipenda sana kuzitizama.
Neria
Tulikuwa tunalia kama nini wakati yule Neria akiteswa na shemeji yake.
Sarafina
Yaan zile nyimbo ndio zilikuwa kivutio kikubwa sana hasa ule "freedom is coming tommorow".
Commando
Hii ndio usiseme ...wenyewe tulikuwa tunaiita Jane kama mtoto wa Arnold Schwarzenegger alivyokuwa anaitwa katika movie hiyo.
YESU
Huu ndio hata sisemi... tulipenda sana majibu aliyokuwa anatoa YESU pindi akiulizwa maswali na wale mafarisayo


Pia tulikuwa na movies za kihindi, Hatia ile movie ya mtoto bubu aliyeshuhudia wazazi wake wakiuawa afu majambazi yakawa yanamtafuta yamuue... 
nilikuwa naliajeeeee
Tarzan 
Kale ka wimbo ka Tarzan ndio kalikua kanatukosha 
Tarzan oooh my Tarzan...
na ule
Do a dear I feel my dear...
mmmmmh!! hata sikumbuki  inaendeleaje


Pia kulikuwa na tamthilia zinaonyeshwa kwenye tv stations...
Sunset beach
days of our lives
Hizi tulikuwa tupigwa marufuku kuzitizama... COZ ni za kikubwa LAKINI ajabu siku ya marudio jmosi tulikuwa tunaangalia wakati wazazi hawapo home.
Nakumbuka sana enzi hizi ...shoutouts to my bros Boneka & Filemoni na my sisters Nancy,Annie,Bhoke, Faith, Miracle & Floresita.
MICH YUUUU GUYS...


No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...