Thursday, November 1, 2012

Ya Moyoni

Nakushukuru MUNGU wangu kwamaana kila inapoitwa leo ninakuona katika maisha yangu.

Nikikuita Unaitika,Nikiomba Unanijibu hakika wewe ni MUNGU unayetunza maagano.
Wakati mwingine najiuliza kama sio wewe? leo hii mimi ningekuwa wapi?
Ila kwa neema yako bado ninadunda, hakika wewe umejaa NEEMA na REHEMA.

ASANTE BWANA na UHIMIDIWE MILELE

No comments:

Post a Comment

HTML tags

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...